Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Ad-Dahr Ayah 14

76:14
ودانية عليهم ظلالها وذللت قطوفها تذليلا ١٤
وَدَانِيَةً عَلَيْهِمْ ظِلَـٰلُهَا وَذُلِّلَتْ قُطُوفُهَا تَذْلِيلًۭا ١٤
وَدَانِيَةًﲇ
عَلَيۡهِمۡﲈ
ظِلَٰلُهَاﲉ
وَذُلِّلَتۡﲊ
قُطُوفُهَاﲋ
تَذۡلِيلٗاﲌ
١٤ﲍ
Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na karibu nao, kutakuwa na miti ya Pepo yenye kuwafinika ambayo wamerahisishiwa kuyachuma matunda yake.