Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Al-An-Am Ayah 43

6:43
فلولا اذ جاءهم باسنا تضرعوا ولاكن قست قلوبهم وزين لهم الشيطان ما كانوا يعملون ٤٣
فَلَوْلَآ إِذْ جَآءَهُم بَأْسُنَا تَضَرَّعُوا۟ وَلَـٰكِن قَسَتْ قُلُوبُهُمْ وَزَيَّنَ لَهُمُ ٱلشَّيْطَـٰنُ مَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ ٤٣
فَلَوۡلَآﲸ
إِذۡﲹ
جَآءَهُمﲺ
بَأۡسُنَاﲻ
تَضَرَّعُواْﲼ
وَلَٰكِنﲽ
قَسَتۡﲾ
قُلُوبُهُمۡﲿ
وَزَيَّنَﳀ
لَهُمُﳁ
ٱلشَّيۡطَٰنُﳂ
مَاﳃ
كَانُواْﳄ
يَعۡمَلُونَﳅ
٤٣ﳆ
Kwa nini wasinyenyekee ilipo wafika adhabu yetu? Lakini nyoyo zao zilikuwa ngumu, na Shet'ani akawapambia waliyo kuwa wakiyafanya. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi si ilipowajia, umma hawa wenye kukanusha, mitihani yetu wajidhalilishe kwetu. Lakini wao nyoyo zao zilisusuwaa na Shetani aliwapambia yale ambayo waliokuwa wakiyafanya ya maasia na wakiyaleta ya ushirikina.