Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Al-Qasas Ayah 3

28:3
نتلو عليك من نبا موسى وفرعون بالحق لقوم يومنون ٣
نَتْلُوا۟ عَلَيْكَ مِن نَّبَإِ مُوسَىٰ وَفِرْعَوْنَ بِٱلْحَقِّ لِقَوْمٍۢ يُؤْمِنُونَ ٣
نَتۡلُواْﲔ
عَلَيۡكَﲕ
مِنﲖ
نَّبَإِﲗ
مُوسَىٰﲘ
وَفِرۡعَوۡنَﲙ
بِٱلۡحَقِّﲚ
لِقَوۡمٖﲛ
يُؤۡمِنُونَﲜ
٣ﲝ
Tunakusomea khabari za Musa na Firauni kwa Haki kwa ajili ya watu wanao amini. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Tunakusimulia wewe habari ya Mūsā na Fir’awn kwa ukweli (ili wazingatie wale) watu wanaoiamini hii Qur’ani na wakubali kwamba inatoka kwa Mwenyezi Mungu na wafanye matendo yanayoambatana na uongofu wake.