Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Al-Qasas Ayah 74

28:74
ويوم يناديهم فيقول اين شركايي الذين كنتم تزعمون ٧٤
وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَآءِىَ ٱلَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ٧٤
وَيَوۡمَﱻ
يُنَادِيهِمۡﱼ
فَيَقُولُﱽ
أَيۡنَﱾ
شُرَكَآءِيَﱿ
ٱلَّذِينَﲀ
كُنتُمۡﲁ
تَزۡعُمُونَﲂ
٧٤ﲃ
Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi hao mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atawaita hawa washirikina Awaambie, «Wako wapi washirika wangu ambao mulikuwa mukidai duniani kwamba wao ni washirika wangu?».