Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: An-Naml Ayah 79

27:79
فتوكل على الله انك على الحق المبين ٧٩
فَتَوَكَّلْ عَلَى ٱللَّهِ ۖ إِنَّكَ عَلَى ٱلْحَقِّ ٱلْمُبِينِ ٧٩
فَتَوَكَّلۡﱐ
عَلَىﱑ
ٱللَّهِۖﱒﱓ
إِنَّكَﱔ
عَلَىﱕ
ٱلۡحَقِّﱖ
ٱلۡمُبِينِﱗ
٧٩ﱘ
Basi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Jitegemeze, ewe Mtume, katika mambo yako yote kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani Kwake, kwani Yeye ni Mwenye kukutosha. Hakika wewe uko kwenye njia iliyo wazi isiyokuwa na shaka.