Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Ash-Shuaraa Ayah 20

26:20
قال فعلتها اذا وانا من الضالين ٢٠
قَالَ فَعَلْتُهَآ إِذًۭا وَأَنَا۠ مِنَ ٱلضَّآلِّينَ ٢٠
قَالَﱁ
فَعَلۡتُهَآﱂ
إِذٗاﱃ
وَأَنَا۠ﱄ
مِنَﱅ
ٱلضَّآلِّينَﱆ
٢٠ﱇ
(Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipo kuwa miongoni mwa wale walio potea. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mūsā akasema kumjibu Fir’awn, «Nilifanya uliyoyataja kabla Mwenyezi Mungu Hajaniletea wahyi na kunitumiliza kama Mtume,