Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Yasyn Ayah 17

36:17
وما علينا الا البلاغ المبين ١٧
وَمَا عَلَيْنَآ إِلَّا ٱلْبَلَـٰغُ ٱلْمُبِينُ ١٧
وَمَاﱭ
عَلَيۡنَآﱮ
إِلَّاﱯ
ٱلۡبَلَٰغُﱰ
ٱلۡمُبِينُﱱ
١٧ﱲ
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na si juu yetu isipokuwa ni kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hatuna mamlaka ya kuwafanya muongoke, kwani uongofu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu Peke Yake.»