Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Al-Aaraf Ayah 96

7:96
ولو ان اهل القرى امنوا واتقوا لفتحنا عليهم بركات من السماء والارض ولاكن كذبوا فاخذناهم بما كانوا يكسبون ٩٦
وَلَوْ أَنَّ أَهْلَ ٱلْقُرَىٰٓ ءَامَنُوا۟ وَٱتَّقَوْا۟ لَفَتَحْنَا عَلَيْهِم بَرَكَـٰتٍۢ مِّنَ ٱلسَّمَآءِ وَٱلْأَرْضِ وَلَـٰكِن كَذَّبُوا۟ فَأَخَذْنَـٰهُم بِمَا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ ٩٦
وَلَوۡﱁ
أَنَّﱂ
أَهۡلَﱃ
ٱلۡقُرَىٰٓﱄ
ءَامَنُواْﱅ
وَٱتَّقَوۡاْﱆ
لَفَتَحۡنَاﱇ
عَلَيۡهِمﱈ
بَرَكَٰتٖﱉ
مِّنَﱊ
ٱلسَّمَآءِﱋ
وَٱلۡأَرۡضِﱌ
وَلَٰكِنﱍ
كَذَّبُواْﱎ
فَأَخَذۡنَٰهُمﱏ
بِمَاﱐ
كَانُواْﱑ
يَكۡسِبُونَﱒ
٩٦ﱓ
Na lau kuwa watu wa miji wangeli amini na wakamchamngu, kwa yakini tungeli wafungulia baraka kutoka mbinguni na katika ardhi. Lakini walikanusha basi tukawapatiliza kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyachuma. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na lau watu wa miji waliwaamini Mitume wao wakawafuata na kujiepusha na aliyoyakataza Mwenyezi Mungu, Angaliwafungulia Mwenyezi Mungu milango ya heri kwa kila njia. Lakini wao walikanusha, Mwenyezi Mungu Akawatesa kwa adhabu yenye kuangamiza kwa sababu ya ukafiri wao na maasia yao.