Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Ash-Shuaraa Ayah 22

26:22
وتلك نعمة تمنها علي ان عبدت بني اسراييل ٢٢
وَتِلْكَ نِعْمَةٌۭ تَمُنُّهَا عَلَىَّ أَنْ عَبَّدتَّ بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٢٢
وَتِلۡكَﱔ
نِعۡمَةٞﱕ
تَمُنُّهَاﱖ
عَلَيَّﱗ
أَنۡﱘ
عَبَّدتَّﱙ
بَنِيٓﱚ
إِسۡرَٰٓءِيلَﱛ
٢٢ﱜ
Na hiyo ndiyo neema ya kunisumbulia, na wewe umewatia utumwani Wana wa Israili? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kwani huko kulelewa nyumbani kwako unakuona ni neema kutoka kwako juu yangu, na hali wewe umewafanya Wana wa Isrāīl ni watumwa , unawachinja wana wao wa kiume na unawaachilia wanawake wao ili watumwe na wadharauliwe?»