Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Ash-Shuaraa Ayah 25

26:25
قال لمن حوله الا تستمعون ٢٥
قَالَ لِمَنْ حَوْلَهُۥٓ أَلَا تَسْتَمِعُونَ ٢٥
قَالَﱮ
لِمَنۡﱯ
حَوۡلَهُۥٓﱰ
أَلَاﱱ
تَسۡتَمِعُونَﱲ
٢٥ﱳ
(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Fir’awn akasema kuwaambia walioko pambizoni mwake miongoni mwa watukufu wa watu wake, «Je, hamusikii maneno ya Mūsā ya ajabu kwamba kuna mola asiyekuwa mimi?»